Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, JETT MC, ameachia wimbo wake mpya uitwao “MAPENZI HISIA”, ambao tayari umeanza kuvuma mitandaoni na kwenye vyombo vya habari. Wimbo huu umechapishwa rasmi katika majukwaa mbalimbali ya kupakua muziki.

0 Comments